Mwl. Erick’s Podcast

The Word of God for an endless victorious life

Listen on:

  • Apple Podcasts
  • Podbean App
  • Spotify
  • Amazon Music
  • iHeartRadio
  • PlayerFM
  • Podchaser
  • BoomPlay

Episodes

ROHO MTAKATIFU

Wednesday Mar 26, 2025

Wednesday Mar 26, 2025

ROHO MTAKATIFU
Roho Mtakatifu ni msaidizi, ila wengi hawajui anatusaidiaje na kwenye eneo gani
Jifunze Zaidi katika somo hili

ULIMI WAKO USUKANI WAKO

Monday Mar 24, 2025

Monday Mar 24, 2025

ULIMI WAKO USUKANI WAKO
Maisha yako hayaendeshwi na pepo zinazoma maishani bali kwa maneno ya kinywa chako.
Unayopitia sio muhimu kama yale usemayo.
Ulimi kama usukani wa meli huipeleka kule nahodha atakapo angali pepo ni kali. (Yakobo 3:4)
Your Words Will Prevail Over the Winds of life.
Wewe kama nahodha wa maisha yako unaamua muelekeo wa maisha yako kwa maneno ya kinywa chako.
Usiache kuzungumza maneno sahihi kwasababu unaona maisha hayajabadilika baada ya kukiri kwa muda flani. 
KUMBUKA: Ulimi ni usukani, usukani unaamua muelekeo na muelekeo unaamua hatima.
Ukiwa kwenye muelekeo sahihi ni suala la muda tu, utafika kwenye hatima sahihi
Beloved keep talking the Word

THE LAW OF THE SEED - PT 3

Friday Mar 21, 2025

Friday Mar 21, 2025

KANUNI YA MBEGU - SEHEMU YA TATU
Mbegu ni nini? Mbegu ni Mfumo unaohakikisha uzazi(uzalishaji)  na uendelevu
Anayetawala mbegu anatawala matokeo. Maisha yako ya leo ni mavuno ya mbegu zilizopandwa jana.
Wagalatia 6:7  Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Jambo/matokeo yoyote unayotamani kwenye Maisha ni mavuno ya mbegu sahihi. Hii inamaanisha ukiwa na mbegu sahihi unaweza kupata mavuno unayotamani
Ndoa nzuri ni mavunoNyumba yenye amani na furaha ni mavunoMali ni mavunoHeshima ni mavuno
Jifunze Zaidi kwa kusikilize somo hili

Friday Mar 21, 2025

Sehemu ya Ukiri katika maisha ya imani

THE LAW OF THE SEED - PT 2

Friday Mar 21, 2025

Friday Mar 21, 2025

KANUNI YA MBEGU - SEHEMU YA PILI
Mbegu ni nini? Mbegu ni Mfumo unaohakikisha uzazi(uzalishaji)  na uendelevu
Anayetawala mbegu anatawala matokeo. Maisha yako ya leo ni mavuno ya mbegu zilizopandwa jana.
Wagalatia 6:7  Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Jambo/matokeo yoyote unayotamani kwenye Maisha ni mavuno ya mbegu sahihi. Hii inamaanisha ukiwa na mbegu sahihi unaweza kupata mavuno unayotamani
Ndoa nzuri ni mavunoNyumba yenye amani na furaha ni mavunoMali ni mavunoHeshima ni mavuno
Jifunze Zaidi kwa kusikilize somo hili

WINNING THE BATTLES OF LIFE

Friday Mar 21, 2025

Friday Mar 21, 2025

Namna ya kushinda vita za maisha

THE LAW OF THE SEED - PT 1

Friday Mar 21, 2025

Friday Mar 21, 2025

KANUNI YA MBEGU
Mbegu ni nini? Mbegu ni Mfumo unaohakikisha uzazi(uzalishaji)  na uendelevu
Anayetawala mbegu anatawala matokeo. Maisha yako ya leo ni mavuno ya mbegu zilizopandwa jana.
Wagalatia 6:7  Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Jambo/matokeo yoyote unayotamani kwenye Maisha ni mavuno ya mbegu sahihi. Hii inamaanisha ukiwa na mbegu sahihi unaweza kupata mavuno unayotamani
Ndoa nzuri ni mavunoNyumba yenye amani na furaha ni mavunoMali ni mavunoHeshima ni mavuno
Jifunze Zaidi kwa kusikilize somo hili

3 Things to ignore

Friday Mar 21, 2025

Friday Mar 21, 2025

Mambo matatu ya kutokuzingatia kwenye mtembeo wako kama mkristo

Copyright 2025 All rights reserved.

Podcast Powered By Podbean

Version: 20241125