Monday Apr 07, 2025

WATENDAJI WA NENO - PT 2

Namna unvyopokea neno inaamua matokeo ya maisha yako.

Kwa wana wa Mungu hatupokea neno la Mungu passively (dichomai) bali TUNALICHUKUA (Lambano)

Wengi wamekaa passively wakisubiri Bwana atende wakati Bwana ameshawapa kila kitu kifaacho kwa ajili ya uzima na utaua (2 Petro 1:3). Kinatochakiwa ni wao KUCHUKUA kile kilichoko ndani yako katika Kristo.

Mat 21:22  Na yo yote mtakayoyaomba katika sala mkiamini, mtapokea (Lambano).

Neno mtapokea ni neno la Kiyunani LAMBANO likiimanisha kuchukua kwa ujasiri kama mtu anayechukua kile kilicho chake. 

Mwana wa Mungu chukua maisha ya utukufu uliyoitiwa kuishi

Jifunze Zaidi kwenye somo hili

Comments (0)

To leave or reply to comments, please download free Podbean or

No Comments

Copyright 2025 All rights reserved.

Podcast Powered By Podbean

Version: 20241125