Thursday Apr 03, 2025

WATENDAJI WA NENO

IWENI WATENDAJI WA NENO

Yak 1:22-25
Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu. Maana mtu akiwa ni msikiaji wa neno tu, wala si mtendaji, huyo ni kama mtu anayejitazama uso wake wa asili katika kioo;  Lakini yeye anayeitazama sheria kamilifu iliyo ya uhuru, na kukaa humo, asiwe msikiaji msahaulifu, bali mtendaji wa kazi, huyo atakuwa heri katika kutenda kwake.

1. Ni udanganyifu kuwa msikiaji wa Neno pekee


Mt 7:24-27 Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile; nayo haikuanguka, kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba. Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga, mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba hiyo; ikaanguka: na anguko lake lilikuwa kubwa. 

2. Anguko katika maisha si kwa sababu ya yale tunayokabiliana nayo bali ni yale tunayofanya

Jifunze zaidi kwenye somo hili

Comments (0)

To leave or reply to comments, please download free Podbean or

No Comments

Copyright 2025 All rights reserved.

Podcast Powered By Podbean

Version: 20241125