
4 days ago
ULIMI WAKO USUKANI WAKO
ULIMI WAKO USUKANI WAKO
Maisha yako hayaendeshwi na pepo zinazoma maishani bali kwa maneno ya kinywa chako.
Unayopitia sio muhimu kama yale usemayo.
Ulimi kama usukani wa meli huipeleka kule nahodha atakapo angali pepo ni kali. (Yakobo 3:4)
Your Words Will Prevail Over the Winds of life.
Wewe kama nahodha wa maisha yako unaamua muelekeo wa maisha yako kwa maneno ya kinywa chako.
Usiache kuzungumza maneno sahihi kwasababu unaona maisha hayajabadilika baada ya kukiri kwa muda flani.
KUMBUKA: Ulimi ni usukani, usukani unaamua muelekeo na muelekeo unaamua hatima.
Ukiwa kwenye muelekeo sahihi ni suala la muda tu, utafika kwenye hatima sahihi
Beloved keep talking the Word
Comments (0)
To leave or reply to comments, please download free Podbean or
No Comments
To leave or reply to comments,
please download free Podbean App.