7 days ago

THE LAW OF THE SEED - PT 3

KANUNI YA MBEGU - SEHEMU YA TATU

Mbegu ni nini? Mbegu ni Mfumo unaohakikisha uzazi(uzalishaji)  na uendelevu

Anayetawala mbegu anatawala matokeo. 
Maisha yako ya leo ni mavuno ya mbegu zilizopandwa jana.

Wagalatia 6:7  Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.

Jambo/matokeo yoyote unayotamani kwenye Maisha ni mavuno ya mbegu sahihi. Hii inamaanisha ukiwa na mbegu sahihi unaweza kupata mavuno unayotamani

Ndoa nzuri ni mavuno
Nyumba yenye amani na furaha ni mavuno
Mali ni mavuno
Heshima ni mavuno

Jifunze Zaidi kwa kusikilize somo hili

Comments (0)

To leave or reply to comments, please download free Podbean or

No Comments

Copyright 2025 All rights reserved.

Podcast Powered By Podbean

Version: 20241125