
Friday Apr 04, 2025
KANUNI YA MCHAKATO - PT 2
KANUNI YA MCHAKATO - PT 2
Kwenye sehemu ya pili ya somo hili tunaangalia faida ya mchakato.
Mungu huwapa watu sawasawa na uwezo wao: Mathayo 25:15
“Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja, kila mtu kadiri ya uwezo wake; akasafiri mara.
Ili kufanya makubwa Zaidi badala ya kukaa na wishful thinking chukua hatua na kuongoza capacity (uwezo wako). Hatima ni kwa wanaoweza kupambana (fighters) na wanaoweza kutamalaki territories.
Kutembea katika halisia za baraka tulizo nazo katika Kristo ni Zaidi ya kufunga, kuomba na kusoma neno.
Jifunze Zaidi kwenye somo hili:
Comments (0)
To leave or reply to comments, please download free Podbean or
No Comments
To leave or reply to comments,
please download free Podbean App.