
Thursday Mar 27, 2025
KANUNI YA MCHAKATO
KANUNI YA MCHAKATO
Kila mafanikio ya kweli na ya kudumu yanahitaji mchakato. Kwenye kanuni ya mbegu kumea kuna mchakato.
Mark 4:28
Maana nchi huzaa yenyewe; kwanza jani, tena suke, kisha ngano pevu katika suke.
Wengi wanakata tamaa wanapokutana na ugumu au changamoto kwenye maisha hasa wanapoona Njozi au kusudi la maisha yao inachelewa. Hii inatokana na kutokuelewa KANUNI YA MCHAKATO.
Mafanikio yako ni UHAKIKA. Kaa kwenye Mchakato.
If you jump up you will come done but if you grow up you will stay there.
Ukuaji wa ghafla sio ukuaji ni uvimbe😂
Jifunze Zaidi kwenye Somo Hili
Comments (2)
To leave or reply to comments, please download free Podbean or
Glooooooooooooory
Friday Apr 04, 2025
So powerful👏 I have got my package…glory to God🙌🙌
Thursday Apr 03, 2025
To leave or reply to comments,
please download free Podbean App.