
Thursday Apr 24, 2025
FAITH FOR WAR
FAITH FOR WARFARE
Maisha yana vita na kukataa uwepo wa vita hakuondoi vita
Kitachokupa faida ni kuwa tayari kwa ajili ya vita kwa Kuvaa silaha zoto za Mungu (Efeso 6:11)
Adui hana nguvu ila alichonacho ni HILA (Efeso 6:11). Msingi wa Hila ni Uongo na Msingi wa Imani ni KWELI YA NENO LA MUNGU.
Ngao ya Imani ndio silaha pekee ya kukukinga na mishale ya moto ya adui
Ufanisi wa Ngao yako unatemea kiwango cha kweli kilichoko ndani yako (Yohana 8:32)
Mungu amekuambia nini kuhusu Afya Yako, Uchumi, Familia, Watoto, n.k
Maarifa ya neno uliyonanyo kuhusu maeneo mbalimbali ya Maisha yako ndio yatayokupa ulizi pale vita itapoinuka kwenye eneo lolote kweye Maisha yako kwakua unajua vita inatokana na HIla (Uongo) na Imani yako ni Imara kwakua Imejengwa Juu ya Kweli ambayo ni Neno Na Mungu.
Jifunze Zaidi kwenye somo hili:
Comments (0)
To leave or reply to comments, please download free Podbean or
No Comments
To leave or reply to comments,
please download free Podbean App.